JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani mie leo si simba si yangua. Usingizi sio wa nchi hii[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]spade lala bana tukue. Usiku mwema
Oohooo! Vipi tena best?
Lala salama mamy!
 
Ole wao, walalao peke yao kwenye 6*6 kwa maana upweke na hasira bila kusahau popobawa havitawaacha salama[emoji40] [emoji125]
Kwa kweli hiyo ole hainihusu kabisa maana mimi nalalia kitanda cha 2*6 sina upweke maana nabanana vyema na ukuta [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmh! Wacha nifunge geti niondoke zangu, leo naona popo wote chali....
 
[emoji123] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Thad hapendi mimi kuwa last man standing
 
Back
Top Bottom