Neybright[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Yupi huyo nikuitie ili usikimbie? [emoji4] [emoji4]
Hatujambo dear!Naamin wote humu hamjambo na mnalisukuma gurudumu kama kawaida
Niliwamisimo jomon
Oohoooo! Huyu best ndo maana kakimbia, anajua anakesi ya kujibu. Maana hawa mashemeji washakuwa wengi sasa!Neybright[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mm zaidi bbyto, u hali gani lkn?Afadhali umekuja, nilikuhamu mno mamito![emoji8] [emoji8]
Sijambo my dear! Naendelea kupambana tu na hali yanguMm zaidi bbyto, u hali gani lkn?
Hapana bhana kuna maisha najifunzamo ili kudumisha ndoa ambayo iko usonj[emoji8]Hatujambo dear!
Za kutukimbia?
Nakupenda tu bure loooh[emoji8] [emoji12]Oohoooo! Huyu best ndo maana kakimbia, anajua anakesi ya kujibu. Maana hawa mashemeji washakuwa wengi sasa!
( samahanini mi naongea na simu siongei na wewe)
Nafurah kusikia hivyo hunSijambo my dear! Naendelea kupambana tu na hali yangu
Nipo dearKichwa kichafu
Neybright
dingmtoto
Ipogolo
cofta
Manga Ml
Jje's
Maseratii
Nleterewa
Quigley
Kuna watu wamepoteaga humu jomoniii
Heee! Mbona hatupeani kadi?Hapana bhana kuna maisha najifunzamo ili kudumisha ndoa ambayo iko usonj[emoji8]
Hahaaaa sawa mkuuOohoooo! Huyu best ndo maana kakimbia, anajua anakesi ya kujibu. Maana hawa mashemeji washakuwa wengi sasa!
( samahanini mi naongea na simu siongei na wewe)
Ahahahaaaaaa wewe ni kiboko [emoji119] [emoji119] [emoji119] Aiseeh mie sikuwez ujue, umejua kunichekesha leoWatu wa humu ndani nimewashindwa tabia yaani mkiwa na kesi mnapotea, mkiombwa kitu mnapotea kwanini mwalia gizani kwa kumwogopa jirani?
Neybright kukuomba uniazimishe baby wako ndo umekimbia kabisa jukwaa?
Kichwa Kichafu kukuomba twende wote mpirani ndo umepotea mazima?
Manga ML kukuomba unifundishe kubet umeacha na kukesha?
Nleterewa Nganengo Kukuomba dawa ya kupunguza wivu ndo umebadilisha na njia hupiti tena huku?
Samaritan kukuuliza swali ndo ukapotea mazima?
Joseverest kukwambia nitakuja uninunulie bombadia ndo hata nafasi yako ya 2 umeiacha kweli?
jje's kukukwambia naomba usiku mmoja tu na KK ndo ukaaga kabisa hapa jukwaani?
Maserati kukuomba blanket nijifunike kupunguza hili baridi ndo huonekani tena?
Jamani sio vizuri hivyo, mimi nilikuwa nawatania tu....kwanza MOYO WANGU SULTAN CHA MTU SITAMANI [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
HuyooooNipo dear
Nashukuru best!Ahahahaaaaaa wewe ni kiboko [emoji119] [emoji119] [emoji119] Aiseeh mie sikuwez ujue, umejua kunichekesha leo
Nipo babyNisipomuona baby wangu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mana umu yy ndo kila kitu mpaka mb[emoji2] [emoji2]
Hatujambo Dear karibu sanaNaamin wote humu hamjambo na mnalisukuma gurudumu kama kawaida
Yeah! Vip umejiandaaje kuipokea?weekend hiyooo...!!
Usingizi nusu unikamate mana haupoNipo baby
Waenda wapi tena jamani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
AhahahaaaaaaOohoooo! Huyu best ndo maana kakimbia, anajua anakesi ya kujibu. Maana hawa mashemeji washakuwa wengi sasa!
( samahanini mi naongea na simu siongei na wewe)
Ngoja tusikilizie jibu lake....huyu jirani wa dunia sio kabisa [emoji23] [emoji23]Nakupenda tu bure loooh[emoji8] [emoji12]