Nipo dear wangu,Heloo Dear upo..?
Ehehee hongera naona ni mwanzo mwema huo, mie mwenyewe nishapata majibu ujue [emoji6]Mm zaidi, ck zinavyozidi kusonga ndivyo nalala mapema
Nitauliza daktar wangu wa home kulikoni? Naamin ana majibu
Teh teh[emoji8] [emoji12]
Walale wapi wanamapozi tuu ya usiku usikuNdo tuseme wengine wamelala ama tumewahi?[emoji23][emoji23]
Nipo dear wangu,
Habari za masiku tele
Jomon jomon majibu umeyapate weye? Mm namsubiria doctor wangu anieleze hata sijui pia[emoji8] [emoji87] [emoji85]Ehehee hongera naona ni mwanzo mwema huo, mie mwenyewe nishapata majibu ujue [emoji6]
Leo nahis kuna mvua upande wake. Unajua kimvua kikinyesha tu haonekani[emoji85]Walale wapi wanamapozi tuu ya usiku usiku
Umenionea wapi Thad?
Sina mpya dear nipo tuu nashangaa, Vipi wewe unaendeleaje lakini ?Daah nilikumiss tu mamaa , ila I hope uko mzima..Lete storii...!
Akikueleza uje unambie na mimi nitasema niliwaza nini teh teh tehJomon jomon majibu umeyapate weye? Mm namsubiria doctor wangu anieleze hata sijui pia[emoji8] [emoji87] [emoji85]
Na amejua kutukomesha, hajawaza tutaumia kiasi gani kwa kummisi anatabia mbaya sanaLeo nahis kuna mvua upande wake. Unajua kimvua kikinyesha tu haonekani[emoji85]
Haya nitakuambia ila una uhuru wa kuanza kuniambia ulichowaza[emoji12]Akikueleza uje unambie na mimi nitasema niliwaza nini teh teh teh
Sina mpya dear nipo tuu nashangaa, Vipi wewe unaendeleaje lakini ?
Akishakwambia uniulize na mimi nitasemaHaya nitakuambia ila una uhuru wa kuanza kuniambia ulichowaza[emoji12]
Zima data fumba macho ulale, mie kuna kakazi namalizia hapa nitarudi baadae kidogo dia [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Daah Ney Usingizi umekata hapa njoo tubebishanee tu hakuna namna na upweke huu..
Niitie Nganengo labda wako masomon[emoji85]Na amejua kutukomesha, hajawaza tutaumia kiasi gani kwa kummisi anatabia mbaya sana
Sawa sina hata haraka najua utanieleza ukweli[emoji12]Akishakwambia uniulize na mimi nitasema
Eti bhana nishatengwa tayariHuusiki jamani.
Mambo vipi aiseeh
Hamja wahi nahisi uchovu wa j 3 tuNdo tuseme wengine wamelala ama tumewahi?[emoji23][emoji23]
HongelaEhehee hongera naona ni mwanzo mwema huo, mie mwenyewe nishapata majibu ujue [emoji6]
Pole sana Manga; hivi kumbe jana ilikuwa j3 eeehHamja wahi nahisi uchovu wa j 3 tu
Wala usiogipe huoni kamjibu kijanja? Bado yuko na wewe usihofuEti bhana nishatengwa tayari
Yani huku kukosa swaga ni khatari sana kwa afya ya mahaba.