D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Mbna kichwa kinaniwasha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna saa ile ndio nilikuwa narudi home toka vacation.Mazingila ndo yalisema ulikua unaluka kwanja
Uchochezi gani wakati ni kweli, Vipi Thad umemuacha wapi?[emoji15] [emoji15]
Huu sasa uchochezi mamboleo[emoji57]
Mzima dear. Aisee kuna baridi hatariNaona baridi imewaingia jamani
Mzima wewe?
Siku izi naona uko makini sana kuingia lindo, usisahau kufunga geti badae[emoji6]Gate limefunguliwa...popozzzzzzz[emoji351]
Kufunga gate ni zamu yako banaSiku izi naona uko makini sana kuingia lindo, usisahau kufunga geti badae[emoji6]
Aisee, jirani wa dunia nikafikiri umekuja kuzima moto, kumbe umekuja na dumu la petrol, kwakweli muhusika wa huu utekaji atakua jirani yako (the hunter)[emoji40]Uchochezi gani wakati ni kweli, Vipi Thad umemuacha wapi?
Ndio hivyo tuvumilie tuu hakuna namnaMzima dear. Aisee kuna baridi hatari
Ahahahaaaaaa hunter hafai hata kidogo huyo michepuko ikimtawala na lindo anasahau kabisa.Aisee, jirani wa dunia nikafikiri umekuja kuzima moto, kumbe umekuja na dumu la petrol, kwakweli muhusika wa huu utekaji atakua jirani yako (the hunter)[emoji40]
Umesahau saivi niko likizo, labda umshtue yule chepeo kwa chepeo a.k.a The last man standing[emoji12] [emoji40] [emoji125]Kufunga gate ni zamu yako bana
Hahaha, saivi anatumia mpaka bunduki kuwindia ndege, hataki shida kabisa[emoji40] [emoji125]Ahahahaaaaaa hunter hafai hata kidogo huyo michepuko ikimtawala na lindo anasahau kabisa.
Kwan jana mlikuwa wapi wewe na Thad?[emoji12][emoji15] [emoji15]
Huu sasa uchochezi mamboleo[emoji57]
Kunywa Metakeflin vidonge 6 kwa Mara moja na balimi 2, usisahau kuleta mrejesho[emoji125]Mbna kichwa kinaniwasha?
Aje ajibu hapaUchochezi gani wakati ni kweli, Vipi Thad umemuacha wapi?
Uliza wewe dadayake mie hata sijajibiwaKwan jana mlikuwa wapi wewe na Thad?[emoji12]
Wapi huko? Huku joto la hatar[emoji12]Mzima dear. Aisee kuna baridi hatari
[emoji15] [emoji15]Kwan jana mlikuwa wapi wewe na Thad?[emoji12]
Ndo nani tena maana nasikia bby una majirani wengi? Hebu nitonye usikute ni yule wangu[emoji38]Ahahahaaaaaa hunter hafai hata kidogo huyo michepuko ikimtawala na lindo anasahau kabisa.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]Hahaha, saivi anatumia mpaka bunduki kuwindia ndege, hataki shida kabisa[emoji40] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85]Kunywa Metakeflin vidonge 6 kwa Mara moja na balimi 2, usisahau kuleta mrejesho[emoji125]