jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Ngoja tusubir[emoji38]Uliza wewe dadayake mie hata sijajibiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubir[emoji38]Uliza wewe dadayake mie hata sijajibiwa
Hahaha ila Mshiki, unajua Mimi sihusiki na utekaji wa huyu mtu, kuna siku nilikusikia unasema mvua ikinyesha huwa anapotea, huenda ana allergy nayo[emoji40] [emoji125]Aje ajibu hapa
Haaa ana walimu wengii eeeh[emoji15] [emoji15]
Kwakweli Bundi Thad sijui aliko, hebu hili swali aulizwe Mwl wake wa kubet Manga ML[emoji40] [emoji125]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hufai ujue nimecheka kwa nguvu usiku wote huuHahaha ila Mshiki, unajua Mimi sihusiki na utekaji wa huyu mtu, kuna siku nilikusikia unasema mvua ikinyesha huwa anapotea, huenda ana allergy nayo[emoji40] [emoji125]
Duuh, Leo kwakweli mmeniamulia, hebu jaribuni kumwuliza Manga ML huenda ashaanza darasa la kubet[emoji40] [emoji125]Uliza wewe dadayake mie hata sijajibiwa
[emoji3] [emoji3] [emoji85]Ndo nani tena maana nasikia bby una majirani wengi? Hebu nitonye usikute ni yule wangu[emoji38]
[emoji40] [emoji40] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji119]Haaa ana walimu wengii eeeh
Nasikia wewe hutumia bakora spesheli kumfundishia, eti kaka ni kweli? Mm huwez nifundishia na hiyo bakora??[emoji12]
Mimi sijawahi kua mwalimu wake nakanusha vikaliHaaa ana walimu wengii eeeh
Nasikia wewe hutumia bakora spesheli kumfundishia, eti kaka ni kweli? Mm huwez nifundishia na hiyo bakora??[emoji12]
Hahaha mkuu nimeona wameniandama sana nikaona niite assist kijanja[emoji40]Hapana aseee nilikanusha sina ufundi wa kubet.
hili swali halinihusu tengua kauli
Salama mkuu, karibu kilingeniHabari zenu popoooz[/SIZE
Mtafute Maserati muunganishe baridi zenu zitatoa joto[emoji40] [emoji125]Niko napigwa baridi hapa pekee yaanguu
Msacha nitinye bhana naona kama mnamjua[emoji12][emoji3] [emoji3] [emoji85]
Unaenda wapi? Ukuje ujibu tu hapa[emoji40] [emoji40] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe uko likizo tatizo hujaripoti kwa incharge.Umesahau saivi niko likizo, labda umshtue yule chepeo kwa chepeo a.k.a The last man standing[emoji12] [emoji40] [emoji125]
Mie naona dar leo kuna joto. Vipi mamy ndio umerudi rasmi?Wapi huko? Huku joto la hatar[emoji12]