Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha cha kushangaza anasema yuko Darisalama, itakua Spade kamteka kwenye kahoteli kenye AC[emoji125] saivi itakua washatengeneza jotoridi la kutukuka[emoji40]Baeidi hii itakua kilimanjalo huku ni joto tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikuhizi tumeweka uzio mkubwa sana hawezi tena kupiga chabo jirani yangu.
Kuna mahali nimemuona anaomba papuchi mbele ya hadhira sijui kapatwa na nini jamani, (jje's asiione hii comment) [emoji41][emoji41]
Ahahahaaaaaa jirani msema kweli banah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku izi ni tofauti na zamani, saivi ameanza kua jirani mchonganishi[emoji40] [emoji125]
Ohoooo mahaba hayaAlikuwa anafanya komedy, namjua hawez fanya hivyo kamwe[emoji85] [emoji12]
Ohooo lile jibu muruwaa kabisa kumbe umejibu huku ukijikakamua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hii comment ya Ney imeniletea usingizi wa gafula; kwanza kwikwi imenipata acha niamke ninywe maji nilale
Mkiwa mnaandika muulize na BP na SHELL za wenzenu
Kwaherini rasm acha nilale nikittafakari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile haikuwa comedy jamani macho yalivyo mtoka utadhani anataka kupigana mieleka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhhhh jirani yangu kichwa kichafu hafai
Anajikaza tuu lazima aumieOhoooo mahaba haya
Japo hujatimiza ila imehesabiwa tayari ni juu yako kutimiza hisia za watuHahaha na kweli, yani offer ambayo hata sikuitimiza yote inataka kuniletea shida.
Kwema lakini Komredi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohooo lile jibu muruwaa kabisa kumbe umejibu huku ukijikakamua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ujue utaniulia dada yangu kwa presha, tafadhali tuko wawili tu ujue, ila jirani yako aache komedy sasa atatipunguzia watu duniani sasa[emoji125]Inamaana umeisoma hiyo comment yangu why na nilisema usione ahahahaaaaaa pole sana Dear koroga sukari na chumvi unywe utapata auheni
Usha uwa mtu kwa bp unalijua hilo?Ile haikuwa comedy jamani macho yalivyo mtoka utadhani anataka kupigana mieleka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhhhh jirani yangu kichwa kichafu hafai
Ahahahaaaaaa mkanye shemeji yako mie sipo [emoji23][emoji23][emoji23]Ujue utaniulia dada yangu kwa presha, tafadhali tuko wawili tu ujue, ila jirani yako aache komedy sasa atatipunguzia watu duniani sasa[emoji125]
Hapana kwakweli, itakua kuna mtu kahak akaunti yake[emoji6]Ahahahaaaaaa jirani msema kweli banah
Haha haaaa hafu alijibu kijasili kweli nikaona mahaba si haba kumbe imechoma kuliko pasiInamaana umeisoma hiyo comment yangu why na nilisema usione ahahahaaaaaa pole sana Dear koroga sukari na chumvi unywe utapata auheni
Jipe moyo tuu huo ndio ukweli wenyeweHapana kwakweli, itakua kuna mtu kahak akaunti yake[emoji6]
Maneno kama haya hua yanachoma pasi cha mtoto ngoja namii ntafute pakulalaHahaha cha kushangaza anasema yuko Darisalama, itakua Spade kamteka kwenye kahoteli kenye AC[emoji125] saivi itakua washatengeneza jotoridi la kutukuka[emoji40]
Keshaumia aisee kumbe umekusudia eeh?Anajikaza tuu lazima aumie
Na kweli, wakati mwingine kuliko utuhumiwe uongo kila saa bora ufanye kweli ili kama mbwai na iwe mbwai[emoji40]Japo hujatimiza ila imehesabiwa tayari ni juu yako kutimiza hisia za watu
Ahahahaaaaaa uwiii jje's amejua kunifurahisha haki mapenzi yanauma uchungu ukagusa kwa mtima huyu kichwa kichafu aache tabia mbaya atakuja muua jje's jamani sio kwa mahaba hayo aliyonayo kwa jirani yanguHaha haaaa hafu alijibu kijasili kweli nikaona mahaba si haba kumbe imechoma kuliko pasi
Hahaha naona Leo umedhamiria kuvunja a.k.a bomoa kabisa[emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea mahabati wewe nilijua lazma aumie tuu anataka kunijibu jibu rahisi namna ile kwanini aiseeh