JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hii comment ya Ney imeniletea usingizi wa gafula; kwanza kwikwi imenipata acha niamke ninywe maji nilale
Mkiwa mnaandika muulize na BP na SHELL za wenzenu


Kwaherini rasm acha nilale nikittafakari
Ohooo lile jibu muruwaa kabisa kumbe umejibu huku ukijikakamua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ile haikuwa comedy jamani macho yalivyo mtoka utadhani anataka kupigana mieleka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhhhh jirani yangu kichwa kichafu hafai
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakikuita kwenye vipimo itabidi wakupime na vitu vingine vya Ziada, sio kwa uchochezi huu[emoji40] [emoji125]
 
Haha haaaa hafu alijibu kijasili kweli nikaona mahaba si haba kumbe imechoma kuliko pasi
Ahahahaaaaaa uwiii jje's amejua kunifurahisha haki mapenzi yanauma uchungu ukagusa kwa mtima huyu kichwa kichafu aache tabia mbaya atakuja muua jje's jamani sio kwa mahaba hayo aliyonayo kwa jirani yangu
 
Back
Top Bottom