yellowbamboo
Member
- Nov 10, 2017
- 34
- 11
[emoji15] [emoji15] [emoji15] whaat???Geti li wazi na mida ndo hii karibuni
Mmmh!!! Very ambiguous.Geti li wazi na mida ndo hii karibuni
Unakula vyombo mkuuTanga city lounge
Ndo umesemaje tamuuuu[emoji85]Mmmh!!! Very ambiguous.
Nilikumiss ujue. Ulipotelea wapiiii??[emoji713] [emoji742] [emoji765] E[emoji768] [emoji742] t[emoji671] uje bande hii uone unono wa kuwa macho mida yetu.
Poa shem nimekumis atishem mambo..!!
Nilikuwa najaribu kazi za mchana naona zimenishinda.Nilikumiss ujue. Ulipotelea wapiiii??
Unashangaa nn au ume elewaje?[emoji15] [emoji15] [emoji15] whaat???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kazi gani izo jamaniNilikuwa najaribu kazi za mchana naona zimenishinda.
[emoji3] yaan hata mimi, sema umeadimika sana kama shilingi ya magu[emoji4]Poa shem nimekumis ati
sheee "in mong'oo voice"
Nilianza ukuli pale Kariakoo, sasa mizigo imepungua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kazi gani izo jamani
Vizuri tyuuuu....Unashangaa nn au ume elewaje?
Nipo bhana sema tuko lindo tofauti "meaning time"[emoji3] yaan hata mimi, sema umeadimika sana kama shilingi ya magu[emoji4]
Kuna mtu nimemuona anazunguka zunguka nikajua ndo atafungua get nimeshangaa hayupo sijui nawewe ulimuona?Geti li wazi na mida ndo hii karibuni
anha hapo sawa!! habari ya weekendNipo bhana sema tuko lindo tofauti "meaning time"
[emoji106]Vizuri tyuuuu....