jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Hapana ndo nani huyo jmnKuna mtu nimemuona anazunguka zunguka nikajua ndo atafungua get nimeshangaa hayupo sijui nawewe ulimuona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ndo nani huyo jmnKuna mtu nimemuona anazunguka zunguka nikajua ndo atafungua get nimeshangaa hayupo sijui nawewe ulimuona?
Ndo nishaianza na naona iko poa kabisa. Upande wako vepeeanha hapo sawa!! habari ya weekend
hako kaneno kananiachaga hoi "veepe" [emoji6]Ndo nishaianza na naona iko poa kabisa. Upande wako vepee
Labda nganengo mii hapana na huenda wapo wote japo nganengo sijamuona akichungulia hapaUwiii niitie bhana
Wewe na nganengo mnajua habari zake
Hakika, ndio dua yangu kila kukichahako kaneno kananiachaga hoi "veepe" [emoji6]
huku safi tunasubir mwaka tuumalize Mungu atujaalie
Inawezakana, kuna mida jana alikuwa anamuulizia kupoteza maboya[emoji12]Labda nganengo mii hapana na huenda wapo wote japo nganengo sijamuona akichungulia hapa
usisahau kuniombea na mim, enhe mwenzio ajambo??Hakika, ndio dua yangu kila kukicha
KaribuLeo kumechangamka sio kama jana
asante sana nimekaribiaKaribu
Nganengo kapita mida michafu janaInawezakana, kuna mida jana alikuwa anamuulizia kupoteza maboya[emoji12]
Unatafuta mambo!
haya shem lala salama sis ngoja tulinde kilingeWatu naona mna usingizi acha na mm nilaze mbavu zangu
Mkiamka nistue
Nafikiri hili swali angeulizwa the hunter ingependeza[emoji40] [emoji125]Hivi ulimpeleka wapi huyu best yangu? Au hii ilikuwa indoor classes
Unakula vyombo mkuu
Komredi unatania au unasema kweli? Niambie alikopita nimwibukie huko huko[emoji40] [emoji125]Ni Thad amepita si muda hapa