Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
huogopi huo mlege hapo kwa avatar.... wenzio walivyoniona walitoka baruuu.... lolSasa woga wa nini bibie,[emoji39]
Karibu tujumuike kwenye viti virefu[emoji481] [emoji482]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huogopi huo mlege hapo kwa avatar.... wenzio walivyoniona walitoka baruuu.... lolSasa woga wa nini bibie,[emoji39]
Karibu tujumuike kwenye viti virefu[emoji481] [emoji482]
Mlege kitu gani bhana, Mimi ni jasiri kama jamaa anayekoroma beside you, sema mi sio mtu wa kununa nuna[emoji6]huogopi huo mlege hapo kwa avatar.... wenzio walivyoniona walitoka baruuu.... lol
Upo mkuuMungu ni mwaminifu
HakikaMungu ni mwaminifu
Nipo MkuuUpo mkuu
BarikiwaHakika
Leo umeamua kukesha?Nipo Mkuu
Majukumu tu, nkaona ntembee humu kidogoLeo umeamua kukesha?
Mkuu muda huu majukumu ni yale ya kiutuzima bana!Majukumu tu, nkaona ntembee humu kidogo
Hapana MkuuMkuu muda huu majukumu ni yale ya kiutuzima bana!
Nakuona unatiririkwa jasho hapo.
Haya bana piga kazi best yanguHapana Mkuu
Kuna mengine pia, hujui kuna wapo kazini sa hizi jamani
Sawa MkuuHaya bana piga kazi best yangu
Nikiwa mdogo walikuwa wakiniita sakayo Mkuu...
Kumbe. Safi sana Sakayo. Upo Bongo au nje?Nikiwa mdogo walikuwa wakiniita sakayo Mkuu...
Ni Jina la kike, mwanaume ni Zakayo
Huko tuliko pita juzi na jana kapita kabla ya muda nikajua leo mwenyewe. Kaja kumbe looKomredi unatania au unasema kweli? Niambie alikopita nimwibukie huko huko[emoji40] [emoji125]