JamiiForums Usiku wa manane

Hii ni mida mibaya ya mwaka, watu tunaanza ku save 20% za mbege kwa ajili ya xmass, so tunafanya kazi kupitiliza[emoji38] na siwez hudhuria muda mrefu hivi vimvua navyo vina kazi yake[emoji85]
[emoji39] [emoji39]
Hakuna kitu kama mbege*2
Hata Manka simtaki[emoji441] [emoji445] [emoji442]
 
Hii ni mida mibaya ya mwaka, watu tunaanza ku save 20% za mbege kwa ajili ya xmass, so tunafanya kazi kupitiliza[emoji38] na siwez hudhuria muda mrefu hivi vimvua navyo vina kazi yake[emoji85]
Ndo maana nduguyo Nleterewa Nganengo haonekani hapa,yuko busy kukusanya pesa za kumpeleka kwenye sensa ya Krismas Moshi eeeh!
 
Yaan kabanwa na kazi ila naona anavyozidi kukua ndivyo akili yake inampeleka pazuri. Anawaza mambo ya familia zaid. Nimefurah sana kwa hilo
Hata mm mahudhurio yangu sio kama zaman kwa ajili yake.
Huyu ama yule....mbona wanichanganya? Ndo maana Kichwa Kichafu kapotea hapa jukwaani,nadhani kesha jua kua anaibiwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…