dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
poa usiku mwema nduguNgoja nijiandae [emoji39] [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa usiku mwema nduguNgoja nijiandae [emoji39] [emoji39]
Hajambo; amebanwa na kazi mbaya ila hajambonashukuru!!! shem Mungu amenipigania mwenzio ajambo?
Unajiandaa na nini? Au unaanza kukusanya hela za mchango?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]Ngoja nijiandae [emoji39] [emoji39]
Kwani unadhanu kuna anayependa kuwa macho mida hii,tatizo majukumu.wadau mjifunze kulala, hata kama hamuna wa kulala naye mjikaze tu mfe kikondoo
Jf maisha watu wameathirika ki saikoloji sasa hivi mpo machoWangapi mpo macho??
Uamke salamaUck mwema nyote, speed ya humu haipo kbsa
OyooooOyooooh popoziii
Sijambo kipenzi ...nipooo nawe unakujaga siku moja mojaOyoooo
Hujambo kipenzi? Uliadimika sana bhana
Karibu tena
Naandaa mchango,si umesiki ntakuwa mwanakamati bestUnajiandaa na nini? Au unaanza kukusanya hela za mchango?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Kesho kuna nn?aisee usingizi haupo kabisa kila nikiwaza kesho
Hii ni mida mibaya ya mwaka, watu tunaanza ku save 20% za mbege kwa ajili ya xmass, so tunafanya kazi kupitiliza[emoji38] na siwez hudhuria muda mrefu hivi vimvua navyo vina kazi yake[emoji85]Sijambo kipenzi ...nipooo nawe unakujaga siku moja moja
Jje's mumeo stunter kapotelea wap?Oyoooo
Hujambo kipenzi? Uliadimika sana bhana
Karibu tena
Kesho kuna nini?aisee usingizi haupo kabisa kila nikiwaza kesho