The Bourne
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,077
- 1,321
Nipo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uko sawa kichwani? Utani mwingine sio ujue
Ndo hivyo sasa kama huamini basi mngojee kama utamuona tena humu jukwaaniHivi uko sawa kichwani? Utani mwingine sio ujue
Nimeshtuka sana ati
Bad head, upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh pole kama ni kweli..hakutuaga! Angeaga ingependeza zaidi!Hivi uko sawa kichwani? Utani mwingine sio ujue
Nimeshtuka sana ati
Wasiwasi wangu ni kwamba HR 666 asiwe ndo Alosto mwenyeweHivi uko sawa kichwani? Utani mwingine sio ujue
Nimeshtuka sana ati
Nahis ndo yeyeWasiwasi wangu ni kwamba HR 666 asiwe ndo Alosto mwenyewe
Ukweli kabisa nimeshtukaMmmh pole kama ni kweli..hakutuaga! Angeaga ingependeza zaidi!
Jf kazi ipo,watu wanajitekenya na kucheka wenyeweNahis ndo yeye
Kweli kbsaJf kazi ipo,watu wanajitekenya na kucheka wenyewe
Kwema ulifichwa na nani? Au hali ya kimvua ndo shida[emoji85]jaman kwema humu.!!
heheh!! bora ningefichwa shem yaliyo nikuta we acha tu [emoji19]Kwema ulifichwa na nani? Au hali ya kimvua ndo shida[emoji85]
Pole kwa yaliyokukutaheheh!! bora ningefichwa shem yaliyo nikuta we acha tu [emoji19]
Kama mshtuko haujawa mkubwa sana basi inapendeza!Ukweli kabisa nimeshtuka