Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Koh koh unajua siku izi unaandika maandishi madogo madogo mno alafu mimi nina matatizo ya macho[emoji40]Hahaaaa hivi nani ana hela zaidi Kk au huyo str....maana nasikia anayeitwa shemeji ni mwenye hela,asokuwa nazo huitwa mume wa dada
Miezi 9 mingi best,nimepanda mahindi ya miezi 3 tu,kwahiyo wee anza kujiandaa kwaajili ya mavunoUmejuaje? Huyu best ni mtaalamu wa muda wa kuandaa mashamba, nahesabu tu miezi 9 baadae tuvune[emoji12] [emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ngoja nikajiangalie kwenye kioo ndo nikujibu[emoji6]
AiseeTangu Neybright amsemelee jirani yake Kichwa Kichafu naona wamenuniana na wanaogopa kuja hapa maana tutawasuluhisha.... (Ila mi sijui nasikia tu kwa watu)
jje's na Kk ni mabeby
[emoji3] [emoji3] [emoji119]Kama sio hela ni K
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji38]
Kioo hakidanganyi....ukishajiangalia unitag nijue jibu la salamuuliyopewa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ngoja nikajiangalie kwenye kioo ndo nikujibu[emoji6]
Hahaha na kweli, huyu ni zaidi ya CCTV camera[emoji40]Muache tu, kwenye ile kutambulishana kindugu ndugu kwanza hatumualiki. C unajua kuna kuwa na vitu viki na vizito?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38]
Ohooh na wewe umeanza uchochezi sio[emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]
Cc kichwa kichafu Neybright
Bila shaka mbege ishakupofusha.... Hayo macho dawa yake ndogo,yawekee utomvu wa mnyaa changanya na pilipili kichaa utaona hata vilivyo mbinguniKoh koh unajua siku izi unaandika maandishi madogo madogo mno alafu mimi nina matatizo ya macho[emoji40]
Kwakweli mi nimesema ukweli tu,labda wajichonganishe wenyewe [emoji2] [emoji2]Aiseeee kumbe ni mabeby hahahaaa we Thad ww hufai kwa uchonganishi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ohooh na wewe umeanza uchochezi sio[emoji6]
Ujue tokea nipake piko nimekua kijana kabisa, usinizeeshe bhana[emoji39][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Washangaa nini wakati,wewe ndo ulinipa habari zao? [emoji4] [emoji4] [emoji4]Aisee
Duuuh si kwa ushauri huuBila shaka mbege ishakupofusha.... Hayo macho dawa yake ndogo,yawekee utomvu wa mnyaa changanya na pilipili kichaa utaona hata vilivyo mbinguni
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Wala hakuna kitu kibaya Inna rafiki yangu, huwa KK ananifundishaga michezo fulani wakati mzee yuko bize, na michezo yenyewe haina madhara.
Unajua huyu Thad ana sababu zake tu wala usimsikilize
Unaenda wapi? Shem acha hizosalama humu wanajamvi!! nawasabahi tu napita adoado..!![emoji124] [emoji124]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwakweli mi nimesema ukweli tu,labda wajichonganishe wenyewe [emoji2] [emoji2]