Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Koh koh unajua siku izi unaandika maandishi madogo madogo mno alafu mimi nina matatizo ya macho[emoji40]Hahaaaa hivi nani ana hela zaidi Kk au huyo str....maana nasikia anayeitwa shemeji ni mwenye hela,asokuwa nazo huitwa mume wa dada