Wapi huko nikakutembeleee....Ndo ivo yani, afu uku nilipo nimewaacha masaa mawili ko kwenu inakuwa ni usiku wa wanga na wanandoa
Kwakweli mimi sio mrembo,bali ni ajuza..[emoji126] [emoji126][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hao ndo warembo? Hebu wajitokeze wathibitishe pasipo shaka[emoji85]
Hahaha uzoefu tu komredaisee, kwa namna hiyo inabid ungepewa kazi kitengo cha habari ikulu maana unaandika meseji vizuri hivo na bado unadai huoni,
cc;tz president
Litakua limeonja balimi na bombadia za kutosha[emoji6]Leo jukwaa limechangamka kweli yan hadi raha
bas sawa, mim ngoja nisign outHahaha uzoefu tu komred
Denmark Odense, nikupe Adress uje?Wapi huko nikakutembeleee....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika sikuwezi, kiboko yako ni mshiki wangu tu kwa kumteka mwanamichezo mwenzake The Hunter[emoji6]
Hahaha nasubiri akujibu, ila hujajibu kama na wewe ni mmoja wao ujue[emoji85]Usiogope ni list za warembo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ain't you beautiful?
Maskini baby mwenzangu....nasikia wamemfanyia noma magogoni kwakeHahahaha nitetee basi, kama nasalimiwa na umri huu nikifika kama wa Mughabe si ndo itakua kasheshe[emoji85]
Hujawahi kinieleza ni bakora ipi anakufundishia huyu kaka yangu, sisi michezo yetu ni very unique and healthy and more important good about the michezo is confidential[emoji12]Hivi ana ile bakora anayoisemaga Nganengo?
Hapana,ndo tumeamka [emoji23] [emoji23]mshalala?
Hahaha wewe bila hata limbwata nshakugaia moja, Mwalimu ni kiunganishi cha Mungu na Mzazi siku zote[emoji39]Bilashaka kwa 900 itapendeza zaidi....
Ukishazinunua unambie nikutafutie limbwata ili unihonge japo kajumba kamoja [emoji12] [emoji12]
Duuuh si kwa kunizunguka huku[emoji38] [emoji12]Basi mnialike tu twende wote nikawe ripota wa popoz huko
Haitadhuru![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama ndo ivyo itabidi tualike wachungaji na mashekhe wa kutosha[emoji40]
Itapendeza zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ana ile bakora anayoisemaga Nganengo?
Unaona raha kunivuruga kwa kunitajia hizi vitu wakati nina kiu ya siku 2Litakua limeonja balimi na bombadia za kutosha[emoji6]
aisee mi nimetoka nje kabisa niko barazaniHapana,ndo tumeamka [emoji23] [emoji23]