JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaha aisee Leo sio bure kuna kitu mmetumia sio kwa mashambulizi haya[emoji40] [emoji125]
 
Eeeeh! Naomba uniazimishe huyo mwalimu wako kwa siku 3 tu ili nijue kama anamzidi uwezo mwalimu wangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hakika huyu mwanafunzi wangu ni wakipekee, kinachonifurahisha anapenda vitendo kuliko nadharia[emoji6]
 
Mlipitia na Mkuu Thad kabla hamjatia timu eeeh
Halafu mnajidai kuuliziana et umenionea wapi Nganengo
Duuh hizi siri zenu zitawaumbua siku moja
Cc.
Thad
Huyo siku hizi kawa mbahili wa balimi kama watani zenu,kisa anakusanya pesa ya December
 
Kwakweli balimi hazina tabia ya kusahaulisha mtu,huyo atakuwa amekunywa mbege...[emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…