03180246
usiache kunitaq maana nina hoja zangu za msingiItabidi tuandae kikao cha dharura kwaajili ya kujibu mashambulizi [emoji12] [emoji12]
Tafadhali rudi bandani tafadhali muda bado[emoji40]usiache kunitaq maana nina hoja zangu za msingi
teh teh
Mbona hukuniletea hivyo vitabu mwl.wangu? Yaani umenifanya nilale mlango wazi bure [emoji6] [emoji6]Hahaha usifunge mlango tafadhali kuna vitabu vya pre - learning nataka nikuletee,[emoji40]
Wewe tena best,lazima uwe katibu wa kikao hicho ili agenda zote muhimu uziandike kwa weredi kabisa!usiache kunitaq maana nina hoja zangu za msingi
teh teh
Kumbe mm hadi mtondooo bas ngoja nijiandaeNimefungua mwenyewe,wacha nifunge sasa! Maana naona lindo nimeachiwa peke yangu.
Kesho ni zamu ya Maserati na Manga ML.
Keshokutwa itakuwa zamu ya dingi mtoto na jje's
Mtondo itakuwa zamu ya Kichwa Kichafu na Inna
Mtondogoo itakuwa zamu ya Nleterewa Nganengo na Neybright
Baada ya mtondogoo itakuwa zamu ya No Escape na alibakari
Tafadhali ratiba hii izingatiwe!
Nakubali kuwa siku ya zamu yangu nitakuwa makiniNimefungua mwenyewe,wacha nifunge sasa! Maana naona lindo nimeachiwa peke yangu.
Kesho ni zamu ya Maserati na Manga ML.
Keshokutwa itakuwa zamu ya dingi mtoto na jje's
Mtondo itakuwa zamu ya Kichwa Kichafu na Inna
Mtondogoo itakuwa zamu ya Nleterewa Nganengo na Neybright
Baada ya mtondogoo itakuwa zamu ya No Escape na alibakari
Tafadhali ratiba hii izingatiwe!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo niko peke yangu nini...
Hee.... Kwa hiyo nimefungiwa???? Nifungulie dear [emoji20][emoji20][emoji20][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hujaona waliofungua geti?
Huwez fungiwa kamwe, tunapenda wageni sanaHee.... Kwa hiyo nimefungiwa???? Nifungulie dear [emoji20][emoji20][emoji20]
Wazee? Humu hakuna wazeeNilikuwa mwanga na popo mtiifu humu kabla cjabadil I'd
Wazeee tuanzishen group la wasp au mnaonaje