JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

anga la tanga wilaya handeni na korogwe linasumbua kama auko fiti aukatizi.kama same na mwanga.dah pale lazima chombo kiyumbe sana
 
anga la tanga wilaya handeni na korogwe linasumbua kama auko fiti aukatizi.kama same na mwanga.dah pale lazima chombo kiyumbe sana
Kwa kweli sijui nani amekua na kiburi namna hiyo, hapo Same radar yangu inasoma Mshana ndo yuko hapo, ukifika punguza mwendo kuna nywila za kupita hapo ntakutumia
 
Nimefungua mwenyewe,wacha nifunge sasa! Maana naona lindo nimeachiwa peke yangu.

Kesho ni zamu ya Maserati na Manga ML.

Keshokutwa itakuwa zamu ya dingi mtoto na jje's

Mtondo itakuwa zamu ya Kichwa Kichafu na Inna

Mtondogoo itakuwa zamu ya Nleterewa Nganengo na Neybright

Baada ya mtondogoo itakuwa zamu ya No Escape na alibakari

Tafadhali ratiba hii izingatiwe!
Hii zamu ngumu kweli,tumewekwa midume mitupu!
 
Back
Top Bottom