Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee uko spidi sana, usafiri wangu ulivyoharibika itabidi nilale hapa hapa kesho niendelee na safarihandeni mkuu.nilipita mida si mingi (mkata.mazingira.kwa chaga.)kwangu hali ya hewa iko poa
Duh. Msalimieyuko shelli chalinze
hii chopa natumia kwa zarula kama leo.inatembea km12000secAisee uko spidi sana, usafiri wangu ulivyoharibika itabidi nilale hapa hapa kesho niendelee na safari
Yuko online kwingine, huku yuko offline, endelea kumsubiri huenda akatokea kipindi cha short breakSakayo upo online?
hahaaaaaYuko online kwingine, huku yuko offline, endelea kumsubiri huenda akatokea kipindi cha short break
Kwa kweli sijui nani amekua na kiburi namna hiyo, hapo Same radar yangu inasoma Mshana ndo yuko hapo, ukifika punguza mwendo kuna nywila za kupita hapo ntakutumiaanga la tanga wilaya handeni na korogwe linasumbua kama auko fiti aukatizi.kama same na mwanga.dah pale lazima chombo kiyumbe sana
nitumie pass mkuu maana niko hapa makanya naona mshana anaweza nidukuaKwa kweli sijui nani amekua na kiburi namna hiyo, hapo Same radar yangu inasoma Mshana ndo yuko hapo, ukifika punguza mwendo kuna nywila za kupita hapo ntakutumia
Usimwogope, Huyo anatishiaga tu hana shida, ngoja nizikusanye hizo nywila nikutumie fastanitumie pass mkuu maana niko hapa makanya naona mshana anaweza nidukua
Hii zamu ngumu kweli,tumewekwa midume mitupu!Nimefungua mwenyewe,wacha nifunge sasa! Maana naona lindo nimeachiwa peke yangu.
Kesho ni zamu ya Maserati na Manga ML.
Keshokutwa itakuwa zamu ya dingi mtoto na jje's
Mtondo itakuwa zamu ya Kichwa Kichafu na Inna
Mtondogoo itakuwa zamu ya Nleterewa Nganengo na Neybright
Baada ya mtondogoo itakuwa zamu ya No Escape na alibakari
Tafadhali ratiba hii izingatiwe!
Hapa leo mpaka basMacho makavu kinoma nikaona nishtue mabaharia wa hii meli ya kigiriki