JamiiForums Usiku wa manane

Aisee, naona umeamua kunipanga na jirani aliyetekwa na jirani mpiga chabo, hili lindo nahisi ntakua peke yangu Neybright ebu thibitisha hapa kama utakuwepo tafadhali[emoji6]
 
Nakubali kuwa siku ya zamu yangu nitakuwa makini
dingi mtoto shem wangu naomba tusikwaze jukwaa[emoji12]
Wacha weeh, naona jino la 33 limeonekana, ntakua makini sana siku hiyo, huyo shemeji yako anaweza kuzima taa makusudi[emoji40] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…