JamiiForums Usiku wa manane

Usiku wa mananeeee

Ivi kwanini sio usiku wa masaba.
manane limetokana na neno la kiarabu leny kumaanisha yawm mannaan
yaan usiku ambao mwenyezi mungu hushuka kwa dhat yake usawa wa theluthi tatu na mwenye kutaka kumuomba chochote atakacho bas mola wake atamsaidia.
mahal shahir ni Mannaan*ambalo*ni *jina*miongoni*mwa majina*ya mwenyezi*mungu*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…