JamiiForums Usiku wa manane

Nahisi balimi zishakupofusha macho tayari kilichobaki ni kukusahaulisha lugha yako na kukukumbusha lugha ya malkia.....ukifikia hatua hiyo unambie ili nikuage usije niaibisha bure
Hahaha ujue nimeacha balimi ni saa 12 sasa zishapita, ndo najipongeza hapa na balimi 2 kwa kufanikiwa kuacha pombe[emoji41]
 
Sio waoga,nasikia kwao pia vyuma vimekaza,hawana pesa za kununulia nyungo za kusafiria
Hahaha, zile huwa haziuzwi ujue, tatizo wanga wa siku izi wamezidisha ubarobaro na usistaduu tofauti na enzi zetu, wengi wao saivi wako club[emoji40]
Mfano juzi saa 2 usiku nimekutana na mwanga sistaduu kapaka mekapu[emoji41] [emoji125]
 
Hahaha, zile huwa haziuzwi ujue, tatizo wanga wa siku izi wamezidisha ubarobaro na usistaduu tofauti na enzi zetu, wengi wao saivi wako club[emoji40]
Mfano juzi saa 2 usiku nimekutana na mwanga sistaduu kapaka mekapu[emoji41] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa ninavyokujua lazima ulimtongoza mpaka akaacha ungo wake unaelea angani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Walah aliyekuroga alishakufa.....fanya mpango uje nikurogoe kwa kutumia mkojo wa sisimizi na machozi ya samaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa uaguzi huo, ni heri niendelee na dozi ya balimi, wewe aliyekuloga ndo atakua sio kafa tu, mpaka nywele zake zishadecompose[emoji119] [emoji119]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha imwagike tu,wewe wahi huko ukajionee ulivyotandaziwa ma emoji ya kufa mtu na memba ke
Hahaha kwa hilo imani yangu imekua kama ya Thomaso, hebu nithibitishie hapa kwa kuweka emoj uliyoniwekea kule[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…