Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha ujue nimeacha balimi ni saa 12 sasa zishapita, ndo najipongeza hapa na balimi 2 kwa kufanikiwa kuacha pombe[emoji41]Nahisi balimi zishakupofusha macho tayari kilichobaki ni kukusahaulisha lugha yako na kukukumbusha lugha ya malkia.....ukifikia hatua hiyo unambie ili nikuage usije niaibisha bure