JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umeamua leo kunitolea stress zote, ngoja niongee na mshiki angalau akupe ka chance ka kumwona the hanter, nafikir huu uchochezi utapungua[emoji125]
Hivi stress maana yake ni nini vile? (naomba uninong'oneze jibu ili watu wasijue kuwa sijui)
 
Stress ni pale unapotuma sms kwa mkeo au mumeo ukitoa sifa na pongezi kedekede kwa shughuli njema na iliyotukuka mliyoifanya siku hiyo kwenye uwanja wa fundi seremala ukiwa Safarini kikazi[emoji41]
 
Hujamalizia sentensi!! Lakini nahisi ulitaka kumalizia ya kwamba "halafu hakujibu au anasema poa tu!!!the next will be double stress. Hatareeee!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe wenye wake/waume mna stress za kufa mtu halafu kutwa mnawasimanga masingle wasio na hizi stress ziso na vichwa wala miguu...
 
Mimi mwenyewe nilihadithiwa na babu yangu, stress za aina hii hutokea kila baada ya karne mbili[emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…