T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Tehteh...Hee kumbe kwenu ni mchana? Wapi huko nije kuota jua maana nasikia baridi hapa
Kwetu ni huku kwa Dr Mia tisa itapendeza zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehteh...Hee kumbe kwenu ni mchana? Wapi huko nije kuota jua maana nasikia baridi hapa
01:33Saa 01:28PM
Nakuona umeanza kuhunt[emoji85] [emoji125]Hee kumbe kwenu ni mchana? Wapi huko nije kuota jua maana nasikia baridi hapa
Hapo nimekuelewa umeona saa saba mchana haitadhuru..Tehteh...
Kwetu ni huku kwa Dr Mia tisa itapendeza zaidi
Walaaa.... Mwenzetu kaona saa saba mchana haitadhuru....hivyo nataka tufanye iwe saa nane mchanaNakuona umeanza kuhunt[emoji85] [emoji125]
Hivi stress maana yake ni nini vile? (naomba uninong'oneze jibu ili watu wasijue kuwa sijui)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umeamua leo kunitolea stress zote, ngoja niongee na mshiki angalau akupe ka chance ka kumwona the hanter, nafikir huu uchochezi utapungua[emoji125]
Hahaha, wahi kabla jua halijazama, alafu nisubiri nikupe nguo zangu ukanisaidie kuzianika juani[emoji125]Walaaa.... Mwenzetu kaona saa saba mchana haitadhuru....hivyo nataka tufanye iwe saa nane mchana
Sehemu yenyewe umeambiwa ni kwa dr.bilionea...nikifika nitazipiga mnada,najua akinipa mia tisa itapendezaHahaha, wahi kabla jua halijazama, alafu nisubiri nikupe nguo zangu ukanisaidie kuzianika juani[emoji125]
Stress ni pale unapotuma sms kwa mkeo au mumeo ukitoa sifa na pongezi kedekede kwa shughuli njema na iliyotukuka mliyoifanya siku hiyo kwenye uwanja wa fundi seremala ukiwa Safarini kikazi[emoji41]Hivi stress maana yake ni nini vile? (naomba uninong'oneze jibu ili watu wasijue kuwa sijui)
Basi mi sina stress maana sijatuma sms ya hivyo....[emoji12] [emoji12]Stress ni pale unapotuma sms kwa mkeo au mumeo ukitoa sifa na pongezi kedekede kwa shughuli njema na iliyotukuka mliyoifanya siku hiyo kwenye uwanja wa fundi seremala ukiwa Safarini kikazi[emoji41]
Hahaha sawa mwanafunzi mwoga wa bakora, washtue basi wenye zamu zao waje, uniruhusu mimi nijiegeshe baadae nataka nikaingize ibada[emoji40] [emoji40] [emoji125]Basi mi sina stress maana sijatuma sms ya hivyo....[emoji12] [emoji12]
Stress ni pale unapotuma sms kwa mkeo au mumeo ukitoa sifa na pongezi kedekede kwa shughuli njema na iliyotukuka mliyoifanya siku hiyo kwenye uwanja wa fundi seremala ukiwa Safarini kikazi[emoji41]
Hata mimi najiandaa kuwahi misa ya kwanza....we tuondoke zetu,wenye zamu yao wakija watafunga geti!Hahaha sawa mwanafunzi mwoga wa bakora, washtue basi wenye zamu zao waje, uniruhusu mimi nijiegeshe baadae nataka nikaingize ibada[emoji40] [emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe wenye wake/waume mna stress za kufa mtu halafu kutwa mnawasimanga masingle wasio na hizi stress ziso na vichwa wala miguu...Hujamalizia sentensi!! Lakini nahisi ulitaka kumalizia ya kwamba "halafu hakujibu au anasema poa tu!!!the next will be double stress. Hatareeee!!!!
Hahaha hii ni hatari zaidi ya kutumiwa hela za Escrow, omba isikupate, unajikuta umekua actor mbobezi pasipo kupendaHujamalizia sentensi!! Lakini nahisi ulitaka kumalizia ya kwamba "halafu hakujibu au anasema poa tu!!!the next will be double stress. Hatareeee!!!!
Natamani siku moja nikushuhudie ukiwa na stress za hivi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaha hii ni hatari zaidi ya kutumiwa hela za Escrow, omba isikupate, unajikuta umekua actor mbobezi pasipo kupenda
Amekusikia, ila kaniambia nikwambie yeye sio mtoto tena saivi amekua utoto umeisha amebaki na uzuri tu[emoji40] [emoji125]Namtakia usingizi mnono mtoto mzuri Bacyclerbacy
Mimi mwenyewe nilihadithiwa na babu yangu, stress za aina hii hutokea kila baada ya karne mbili[emoji40][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe wenye wake/waume mna stress za kufa mtu halafu kutwa mnawasimanga masingle wasio na hizi stress ziso na vichwa wala miguu...
Hahaha anaeshuhudia stress za aina hii ni lazima atakua mchepuko wa mwenye stress[emoji85]Natamani siku moja nikushuhudie ukiwa na stress za hivi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]