Karibu jirani nimekumisimo kweli, alafu ujue Leo zamu yako[emoji39]Nimepita kuchungulia kama geti lipo wazi [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Vipi jirani, habari za masiku teleSalama komredi, naona mapema umefungua geti
Kwema dingi za KwakoWaungwana swalama humu..!!!
Duuh aisee!! Hii sasa kali ya kufunga mwaka[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sisi haturuhusiwi kuambatana usiku ujue[emoji40]
Hiyo kwetu ni laana[emoji85]
Huyu mshiki wangu dirty head kuna mazoezi magumu atakua anampa sio kwa uchovu huo wa kila day[emoji40] [emoji125]
nzuri jaman, wewe nan alikuficha mamiyeKwema dingi za Kwako
Jomonii umerudi karibu sanaaKwema dingi za Kwako
Hapana jirani, hali yangu sio nzuri kiafya siwezi kuwa zamu leo, acha nisubiri mpaka next week [emoji4]Karibu jirani nimekumisimo kweli, alafu ujue Leo zamu yako[emoji39]
Swalamaa leo si mchezo umetufungulia getiWaungwana swalama humu..!!!
kwema?Swalamaa leo si mchezo umetufungulia geti
Naam.!! Sio kila wengine leo zamu yangu,Swalamaa leo si mchezo umetufungulia geti
Kwema kabsa..ww?kwema?
Nifichwe wapi ndugu yangu basi tuu uchovu hamna lolote
Bukher wa afya..hof kwakoNaam.!! Sio kila wengine leo zamu yangu,
uhali gan wewe Inna
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Heheee hatimaye tumeonana rafiki yangu, mwenzio hali yangu mbaya full usingizJomonii umerudi karibu sanaa
Duuh pole sana!! Ndi ukubwa huo,Nifichwe wapi ndugu yangu basi tuu uchovu hamna lolote
Asante kwa kufunga geti kwa muda muafaka. Hakika wewe watufaaKufunga niachieni mimi
Me niko full masinondo hapa,Bukher wa afya..hof kwako
Hahaa unalala sana sikuhz...Thad alisema mmetekana na kichwa kichafu hv unajua alipo?Heheee hatimaye tumeonana rafiki yangu, mwenzio hali yangu mbaya full usingiz
Kwema kabisa mydear tunamshukuru Mungu kwakweliDuuh pole sana!! Ndi ukubwa huo,
salama lakini huko uliko