JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mmmh! Akili yangu ishaunganisha dots ila mdomo nimeukataza kusema.....watu wasijeshindwa kurudi hapa bure [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
Na kweli doti zako sio mchezo sijui unaziwekeaga nini mpaka zinamaliza chaji za watu[emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo swali aje ajibu mwenyewe kwakweli, na mimi nalisubiri kwa hamu kubwa[emoji40] [emoji125]
Basi ngoja nirudi kwako....
Nimekuona ukishuhudia jinsi unavyojikutaga umelalia kichwa baada ya mazoezi hayo,hivi hayo ni mazoezi gani lakini mbona mmeniacha hewani?[emoji12] [emoji12]
 
Basi ngoja nirudi kwako....
Nimekuona ukishuhudia jinsi unavyojikutaga umelalia kichwa baada ya mazoezi hayo,hivi hayo ni mazoezi gani lakini mbona mmeniacha hewani?[emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huo ushuhuda nimeutoa wapi tena, punguza uchochezi asee[emoji57] [emoji12]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huo ushuhuda nimeutoa wapi tena, punguza uchochezi asee[emoji57] [emoji12]
Kwa kweli mchana sioagi,ila kuna mtu kanisimulia tu....nasikia mpaka umeamua ukapadrishwa kwa sababu unakerwa na hiyo hali ya kujikuta umelalia kichwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwa kweli mchana sioagi,ila kuna mtu kanisimulia tu....nasikia mpaka umeamua ukapadrishwa kwa sababu unakerwa na hiyo hali ya kujikuta umelalia kichwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi mwenyewe nilikua nashangaa watu walivyokua wanafunguka, nikajikuta mimi mwenyewe ndo sijawahi kufanya hayo mazoezi, nikaona hapanifai nikasepa zangu[emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi mwenyewe nilikua nashangaa watu walivyokua wanafunguka, nikajikuta mimi mwenyewe ndo sijawahi kufanya hayo mazoezi, nikaona hapanifai nikasepa zangu[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona unakimbia kivuli chako hapa.....Wifi yangu mlokole hajambo? [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom