JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Pole kwa safari mamy, nasikia Leo mmelala Chalinze wewe na nduguyo...
Ama kweli vyuma vimekaza vibaya mwaka huu.....
Hivi kwani lazima kuhesabiwa kila mwaka?[emoji4] [emoji4]
Hahaha naona mashtaka yashahamishwa, tafadhali malizana na Inna na Dingi alafu mashtaka yetu ulete kesho
 
Kinokia....au uchovu wa safari?

Maana kutembea kwa miguu kutoka kwa DAB mpaka mlima mrefu so mchezo (jamani mi naongea na simu hapa)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi nakuona unavyotafuta netweki, tafadhali hebu mwulize Dirty head yu salama? Ni wiki ya pili namtafuta hapatikani[emoji40]
 
Hahaha naona mashtaka yashahamishwa, tafadhali malizana na Inna na Dingi alafu mashtaka yetu ulete kesho
Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...

Inna na dingimtoto wameenda tRNA kuchaji simu zao [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Wewe na mshiki wako nimewaona mkiitana nanyi mkachaji zenu [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Neybright na Kichwa Kichafu wametekana [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Manta ML na Maserati wanaogopa baridi [emoji18] [emoji18] [emoji18]

No Escape na alibakari wamesusia zamu niliyowapangia [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Basis bwana Mimi huku ndani sitasema nanyi tena nafunga mdomo wangu rudini [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Ohooo! yaleyale ya jana.....this time itabidi mshitaki ndo nikimbie na sio washtakiwa maana naona mashtaka yananizidi kimo sasa [emoji12] [emoji12]
Kwakweli leo nina mzuka sana wa kukesha sema ndo ivo wenye umeme wao wanazingua, kesho ngoja nikakatengeneze kainveta kangu angalau Solar iniassist[emoji6]
 
Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...

Inna na dingimtoto wameenda tRNA kuchaji simu zao [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Wewe na mshiki wako nimewaona mkiitana nanyi mkachaji zenu [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Neybright na Kichwa Kichafu wametekana [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Manta ML na Maserati wanaogopa baridi [emoji18] [emoji18] [emoji18]

No Escape na alibakari wamesusia zamu niliyowapangia [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Basis bwana Mimi huku ndani sitasema nanyi tena nafunga mdomo wangu rudini [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sisi haturuhusiwi kuambatana usiku ujue[emoji40]
Hiyo kwetu ni laana[emoji85]
Huyu mshiki wangu dirty head kuna mazoezi magumu atakua anampa sio kwa uchovu huo wa kila day[emoji40] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yu salama salimini kwani mshiki wako hajakwambia kuwa kampiga marufuku kuja jf kwa kuwa alizidi ku-hunt?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo taarifa sijazipata kwakweli, ila inaonyesha saivi hunter amenasa Tiger, kawa mtulivu kweli kweli (ln mukulu voice)[emoji40] [emoji125]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sisi haturuhusiwi kuambatana usiku ujue[emoji40]
Hiyo kwetu ni laana[emoji85]
Huyu mshiki wangu dirty head kuna mazoezi magumu atakua anampa sio kwa uchovu huo wa kila day[emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi mazoezi yenyewe ndo Yale niliyosikia eti huwa wanajikuta wamedondokeauvunguni au ni mengine.....[emoji12] [emoji12]
 
Pole sana!
Njoo uchaji kwangu Mimi ninaumeme wa kiny**i cha paka[emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dadeki bora nihamie Zimbabwe kuliko nikatumia huo umeme, nasikia ndo unaongoza kwa kuunguza vifaa vya electronics na kunasa watu[emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji125]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dadeki bora nihamie Zimbabwe kuliko nikatumia huo umeme, nasikia ndo unaongoza kwa kuunguza vifaa vya electronics na kunasa watu[emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji125]
Sio kweli,Mimi mbona haujaniunguzia simu yangu ya Philips na kuninasa?
Watu wanausingizia tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi mazoezi yenyewe ndo Yale niliyosikia eti huwa wanajikuta wamedondokeauvunguni au ni mengine.....[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo swali aje ajibu mwenyewe kwakweli, na mimi nalisubiri kwa hamu kubwa[emoji40] [emoji125]
 
Back
Top Bottom