Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema,jipime kwanza ujijue kama wewe ni popo au bundiMkuu nashukuru sana, nadhan ni mapema sana kunikabidhi jukumu hilo, wacha nijipime uwezo wang kwanza kama nitastahimili.
I see....Asee.!!! Nyota zetu labda zinaendana ndiomana tunafanya vitu kwa pamoja[emoji4]
Asante!Nipo Mererani Mazibu lodge hapa. Wa karibu karibu tufurahie jnne njema
Hahaha .. sawa mkuu.Umenena vyema,jipime kwanza ujijue kama wewe ni popo au bundi
Mkuu karibu kidogo tutie joto!!Kusema ukweli Mimi napita tu
Nawasalimu nyote
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]Jomoniii kila mtu alikua kwakee
Hivi jje's na kaka Nleterewa wako wap
Hiki kinokia change kinaniletea wenge LeoMkuu karibu kidogo tutie joto!!
Karibu mkuu, ukifika getini usisahau kuvua viatu, sare zetu ni kaniki nyeusi na vitambaa vyekundu kichwaniMe pia this week naomba kua mmoja wenu, hamjambo lkn?
Nashukuru kwa kuliona hilo....[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]
Watu mna utaalamu wa hali ya juu wa kudaiveti mashtaka, tafadhali malizana na Thad kwanza[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Washaanza safari ya kuelekea kwao kuhesabiwa,nasikia wameamua kwenda kwa miguu maana vyuma vimekaza...[emoji12] [emoji12]
Pole kwa safari mamy, nasikia Leo mmelala Chalinze wewe na nduguyo...Kusema ukweli Mimi napita tu
Nawasalimu nyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ni ya kujitolea kama sungusungu.
Ila we we na pepo lako la ngono siwezi kukukabidhi funguo,usije ukahonga funguo za get letu bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kinokia....au uchovu wa safari?Hiki kinokia change kinaniletea wenge Leo
Mimi no bundi mzoefu mkuu
Nikukaribishe wewe Leo ila hiki kinokia hakinitakii mema
Nisubiri twende wote maana naona simu inanipa warning ya kuiweka chaji na umeme hakuna[emoji40] [emoji125]Kusema ukweli Mimi napita tu
Nawasalimu nyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bilashaka una uzoefu wa kuhonga huko Sinza [emoji126] [emoji126][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu bora angehonga hata maeneo ya Osterbay na Masaki tungeweza kuupata, lakini ye kaenda Sinza moja kwa moja[emoji125]
Nashukuru mkuu, nadhan tuombe uzima tuu hata usiku wa kesho tutatia story tuu. Pole na kinokia mkuu!!Hiki kinokia change kinaniletea wenge Leo
Mimi no bundi mzoefu mkuu
Nikukaribishe wewe Leo ila hiki kinokia hakinitakii mema
Ohooo! yaleyale ya jana.....this time itabidi mshitaki ndo nikimbie na sio washtakiwa maana naona mashtaka yananizidi kimo sasa [emoji12] [emoji12]Nisubiri twende wote maana naona simu inanipa warning ya kuiweka chaji na umeme hakuna[emoji40] [emoji125]