Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa uko online sio...how was your day?
Naam!! Mbona unashangaa bibiye, siku yangu imekua bombaa sijui kwako wewe ??Khaa uko online sio...how was your day?
Nmeona umekuja fastaa..me pia ni nzurNaam!! Mbona unashangaa bibiye, siku yangu imekua bombaa sijui kwako wewe ??
[emoji14] [emoji14] inapendeza zaidi, data ipo on kwa hiyo notification nazipata haraka,Nmeona umekuja fastaa..me pia ni nzur
Karibuuu sikuhz unakujaga sa ngapi?Mida ya wakware!
Oho!! Lipi hilo tenaInna na dingimtoto MNA shitaka la kujibu
Jana mliniacha kwenye mataa were na Inna...mlienda wapi? [emoji4] [emoji4]Oho!! Lipi hilo tena
Kumbee full bandoo[emoji14] [emoji14] inapendeza zaidi, data ipo on kwa hiyo notification nazipata haraka,
Enhe za majukumu ya tanzania ya viwanda
[emoji3] [emoji3] kaone wakt we ndo uliniacha angalia msg yangu ndo ya mwisho janaJana mliniacha kwenye mataa were na Inna...mlienda wapi? [emoji4] [emoji4]
[emoji115] [emoji14] hili swali ningeomba ajibuJana mliniacha kwenye mataa were na Inna...mlienda wapi? [emoji4] [emoji4]
Siku hizi nina bosi mpya, yaani simu yangu ikimuona inajisogeza kwake asome nachoandika. We acha tu Mungu anamuona!Karibuuu sikuhz unakujaga sa ngapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi nina bosi mpya, yaani simu yangu ikimuona inajisogeza kwake asome nachoandika. We acha tu Mungu anamuona!
Naam!!! Ipo full mim tu nishindweKumbee full bandoo
We ncheke tu, nimekonda hadi kibyongo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We we na dingimtoto mlipotea ghafla katika mazingira ya kutatanisha, nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu,Mara ghafla nawaona mmeibuka tena pamoja asubuhi kuja kufunga geti[emoji3] [emoji3] kaone wakt we ndo uliniacha angalia msg yangu ndo ya mwisho jana