JamiiForums Usiku wa manane

Mm uck huu wamenianza vinaya, acha nilale mid nisije umiza kamoyo kangu
Uck mwemeni wote
Jamani nani tena anataka kuharibu siku yako? Usiruhusu hiyo hali my dear
 
Kwan Thad umesema Ney na KK walikuwa wapi eti?
Kusoma hujui....hata picha huoni best? Wewe hujajiuliza kwanini walipotea wote,wakaibuka wote halafu ghafla bin vuu wakaaga wote.....
kalagabaho mwanakwetu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…