dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Eeh una maanisha nin hapo??mzima,ila sijui yeye ndo analazwa huko mwenzangu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh una maanisha nin hapo??mzima,ila sijui yeye ndo analazwa huko mwenzangu?!
Umekosea ungesema tupeane na ma,like mengi mengiiiiiiiiiiiiNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Cc Inna tafadhali soma huu mstari kwa umakini uliotukuka utapata jibu la swali lako.[emoji40]Ngoja nikamwamshe KK nitarudi
Hahaha mimi bado niko kwenye old testament ujue, kwani kuna sehemu imekatazwa?[emoji41]Umeanza lini tabia ya jino kwa jino?
Mmh kwa hizi balimi nilizotumia Leo ntatafsiri vitu vya ajabu, hebu mshtue jje's hapa kidogo yuko vizuri.Nganengo naomba upitie hapa kidogo,we si ndio mkalimani wetu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji40] [emoji125]Ngoja nikamwamshe KK nitarudi
Karibu kwenye ulimwengu wa new testament.....ukipigwa kofi kushoto geuza na upande wa kulia upigwe!Hahaha mimi bado niko kwenye old testament ujue, kwani kuna sehemu imekatazwa?[emoji41]
si mnalazwaga nyie,au?Eeh una maanisha nin hapo??