Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Umeongea jambo la mbolea kwa mara ya kwanza[emoji122] [emoji122]Walima nini mkuu? Tushirikishane kama tunavyoshirikishana kukesha hapa
Ohooo! Hapo unanitaka nisubirie dodo chini ya mwarobaini...nikumbushe kesho ntakupa jibu,maana nilipanda zote.
Ati nini? Ina maana siku zingine zote naongeaga jambo la samadi?Umeongea jambo la mbolea kwa mara ya kwanza[emoji122] [emoji122]
Mimi ni mlinzi, nimepigiwa simu na Mwalimu Mkuu kuwa kuna walioonekana wanazurura.Hahaaa kwani wewe ni mwalimu wa zamu au kiongozi wa zamu?
Jasiri haachi asiliNakuona[emoji6]
Nitashukuru sana, nimeshtuka ulivyosema ulishapanda mbegu zote,ndio maana nikahisi jibu lako ni mwendelezo wa chit chat tukwa nini sitanii mkuu,nataka niwaulizie kule shamba ndio nikupe jibu saa hizi wamelala!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Naomba mbegu mkuu
Alaa kumbe! Unajua kwa sisi tulioishia darasa la vii c,hatujui kama mlinzi naye ana mamlaka ya kuitisha roll callMimi ni mlinzi, nimepigiwa simu na Mwalimu Mkuu kuwa kuna walioonekana wanazurura.
Hahaha nimekumbuka yale mambo ya ku assume, kwa iyo na mimi nimeona ni assume hilo ni Kofi la upande wa kushoto[emoji85] [emoji39]Sijakuelewa.....ina maana hapo ndio umenipiga kofi au?
Aso na maana huwa hapewi maana...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ila najua hapa huu mtego umeniwekea mimi,[emoji6]
Hebu nyoosha maelezo tafadhali[emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ati nini? Ina maana siku zingine zote naongeaga jambo la samadi?
Kwakweli kitabu kile hakijasema kuwa tu assume makofi hewa [emoji4] [emoji4]Hahaha nimekumbuka yale mambo ya ku assume, kwa iyo na mimi nimeona ni assume hilo ni Kofi la upande wa kushoto[emoji85] [emoji39]
Kwakweli, naomba kua mwanafunzi wako tafadhali[emoji39]Jasiri haachi asili
Vyuma mkuu, ndio maana nikajitoa ufahamu kukuomba hadharanisio mimi nina mbegu peke yangu,naweza kuonyesha zilipo ukaenda kununua.
Ushasema jje's ni mwalimu wako maridhawa....nenda akufunze [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwakweli, naomba kua mwanafunzi wako tafadhali[emoji39]