JamiiForums Usiku wa manane

Ushasema jje's ni mwalimu wako maridhawa....nenda akufunze [emoji124] [emoji124] [emoji124]
We nae zile zilikua tu janja za kumshtua, atoke huko alikoshikiliwa,[emoji40]
Ujue hili somo tokea siku nyingi najipendekeza kwako unifundishe lakini unanikazia tu.
 
We nae zile zilikua tu janja za kumshtua, atoke huko alikoshikiliwa,[emoji40]
Ujue hili somo tokea siku nyingi najipendekeza kwako unifundishe lakini unanikazia tu.
[emoji23] [emoji23] usinichonganishe na mwl.wako jje's asije akanipa kesi ya kumnyanganya mwanafunzi wake
 
Kila mtu atavuna alichopanda....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee, haya maneno nimeyafananisha na kile kitendo alichokifanya Eliamhoo kurudisha barua yangu ya tongozo nyumbani kwetu huku akiwa ameambatana na wazazi wake[emoji24] [emoji24] [emoji41] [emoji125]
 
Wacha wee, kwahiyo ulivunaje pando lako la mtongozo? [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…