Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Sema taratibu watu wasisikie...Ahaa! kwa hiyo unataka za bure si ndio!
(bure itapendeza)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema taratibu watu wasisikie...Ahaa! kwa hiyo unataka za bure si ndio!
Wacha weeh, ila usinisahau basi kwenye kibarua cha kuvunaAso na maana huwa hapewi maana...
Sisi wakulima tushaelewana vizuri kabisa
Ama kweli, mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
"Wewe wasema"
[emoji57] [emoji57]Kwakweli kitabu kile hakijasema kuwa tu assume makofi hewa [emoji4] [emoji4]
Kila mtu atavuna alichopanda....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha weeh, ila usinisahau basi kwenye kibarua cha kuvuna
Si ungeniambia mimi angalau tusaidiane kulegeza vyuma kadhaa[emoji41] [emoji125]Vyuma mkuu, ndio maana nikajitoa ufahamu kukuomba hadharani
Vp tena mkurugenzi
Basi kiongozi usijali, ila naweka oda ya mwakani mapema. Kwa kuwa utakuwa umevuna tafadhali unisaidie mbeguusijali kwa kuwa ushajitoa ufahamu,ila ndugu yangu tusifike mbali mimi zangu nimeshapanda zote ina maana sasa labda ningekuwa na pesa ningekununulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji57] [emoji57]
We nae zile zilikua tu janja za kumshtua, atoke huko alikoshikiliwa,[emoji40]Ushasema jje's ni mwalimu wako maridhawa....nenda akufunze [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mwenye macho haambiwi tazama!Si ungeniambia mimi angalau tusaidiane kulegeza vyuma kadhaa[emoji41] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Sema taratibu watu wasisikie...
(bure itapendeza)
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ama kweli, mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe
[emoji23] [emoji23] usinichonganishe na mwl.wako jje's asije akanipa kesi ya kumnyanganya mwanafunzi wakeWe nae zile zilikua tu janja za kumshtua, atoke huko alikoshikiliwa,[emoji40]
Ujue hili somo tokea siku nyingi najipendekeza kwako unifundishe lakini unanikazia tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mtu atavuna alichopanda....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo akili yako ni nyembamba haijajua methali ndio maana huwa huelewi misemo ya wahenga.[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ndio maana wahenga siwakubali, hivi kweli kuna mtu ambaye yuko tayari kufa na mtu?[emoji41]
Wacha wee, kwahiyo ulivunaje pando lako la mtongozo? [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee, haya maneno nimeyafananisha na kile kitendo alichokifanya Eliamhoo kurudisha barua yangu ya tongozo nyumbani kwetu huku akiwa ameambatana na wazazi wake[emoji24] [emoji24] [emoji41] [emoji125]
Hahaha unaweza kuwa na macho lakini kipofu[emoji41]Mwenye macho haambiwi tazama!