Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha sawa bhana najua janja yote hii unakwepa kunifundisha wacha tu nibaki na tongotongo langu.[emoji24] [emoji125][emoji23] [emoji23] usinichonganishe na mwl.wako jje's asije akanipa kesi ya kumnyanganya mwanafunzi wake
Kwahiyo macho yako yanaona balimi tu,vyuma vilivyokazwa kwangu hayavioni?[emoji18] [emoji18]Hahaha unaweza kuwa na macho lakini kipofu[emoji41]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Tatizo akili yako ni nyembamba haijajua methali ndio maana huwa huelewi misemo ya wahenga.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cc Thadlikkle muore
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Kwahiyo macho yako yanaona balimi tu,vyuma vilivyokazwa kwangu hayavioni?[emoji18] [emoji18]
Ujue mimi sijawahi kushtakiwa....mwl.wako hatashindwa kutumia ada yote uliyomlipa ili kunishtaki [emoji4] [emoji4]Hahaha sawa bhana najua janja yote hii unakwepa kunifundisha wacha tu nibaki na tongotongo langu.[emoji24] [emoji125]
Karibu umenigomea haswaaaAisee,ngoja nije tulazane maana naona nawe umekugomea mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku zikinenepa uniite nizishuhudie maana sijawahi kuona akili nene tangu nije hapa duniani[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ngoja niendelee kusubiri akili ziwe nene huenda nitaanza kuwaelewa[emoji57]
Hahaha acha uoga bhana, mimi sina mwalimu mwingine zaidi yako, na wala hatotokea[emoji39]Ujue mimi sijawahi kushakiwa....mwl.wako hatashidwa kutumia ada yote uliyomlipa ili kunishaki [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku zikinenepa uniite nizishuhudie maana sijawahi kuona akili nene tangu nije hapa duniani
Basi sawa,ila tukubaliane kabisa,utalipa ada au utaniletea stori za elimu bure?Hahaha acha uoga bhana, mimi sina mwalimu mwingine zaidi yako, na wala hatotokea[emoji39]
Niko tayari kupambana na mashtaka yote yatakayotokana na hilo.[emoji41]
Cc My Teacher to be
Nimezishuhudia kwako tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee ila nyembamba ushazishuhudia sio[emoji41]
Hahaha mimi sio muumini wa elimu bure kabisa, mimi ni muumini kindakindaki wa "Elimu Bila Malipo"Basi sawa,ila tukubaliane kabisa,utalipa ada au utaniletea stori za elimu bure?
Naona umetoa kauli ya kisiasa [emoji12] [emoji12]leo sitoki hapa mpaka kucheeee!
Duuh, ila teacher najua unanichukia ila ndo nini kunivua mavazi yote ya nje na ndani hadharani[emoji57]Nimezishuhudia kwako tu
[emoji35] [emoji35] Njoo nikuoneshe shule nzuri itakayokufaa kwa undakindaki wako huo......Hahaha mimi sio muumini wa elimu bure kabisa, mimi ni muumini kindakindaki wa "Elimu Bila Malipo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umetoa kauli ya kisiasa [emoji12] [emoji12]
Nihurumie asu wangu....Duuh, ila teacher najua unanichukia ila ndo nini kunivua mavazi yote ya nje na ndani hadharani[emoji57]
Jitaje tu,hakuna atakae kusikia wote wameshalala![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila haya matamko yanafanana fanana na ya Bundi mmoja mchochezi hapa kilingeni (sijataja mtu)[emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji35] [emoji35] Njoo nikuoneshe shule nzuri itakayokufaa kwa undakindaki wako huo......
Ukiona elimu gharama,jaribu ujinga