JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] usinichonganishe na mwl.wako jje's asije akanipa kesi ya kumnyanganya mwanafunzi wake
Hahaha sawa bhana najua janja yote hii unakwepa kunifundisha wacha tu nibaki na tongotongo langu.[emoji24] [emoji125]
 
Tatizo akili yako ni nyembamba haijajua methali ndio maana huwa huelewi misemo ya wahenga.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ngoja niendelee kusubiri akili ziwe nene huenda nitaanza kuwaelewa[emoji57]
 
Ujue mimi sijawahi kushakiwa....mwl.wako hatashidwa kutumia ada yote uliyomlipa ili kunishaki [emoji4] [emoji4]
Hahaha acha uoga bhana, mimi sina mwalimu mwingine zaidi yako, na wala hatotokea[emoji39]
Niko tayari kupambana na mashtaka yote yatakayotokana na hilo.[emoji41]
Cc My Teacher to be
 
[emoji35] [emoji35] Njoo nikuoneshe shule nzuri itakayokufaa kwa undakindaki wako huo......
Ukiona elimu gharama,jaribu ujinga
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dadek ila sijawahi kukutana na Mwl mtata namna hii, basi niko tayari kuhamishia undakindaki wangu kwenye "elimu gharama"
Ujue bila kufundishwa na wewe sintaelewa kabisa[emoji39]
 
Back
Top Bottom