JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aisee, leo ingekuwa j mosi ninge tafuta pakwenda saizi, sematu kesho j 3 akili inawaza working plan tu. Duuh labda huumwanga wa cm ndio unazingua usingizi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Nami niliwaza same thing, ila kesho ndo blue Monday

spend less, save more
 
images
Shemeji yenu mmemuona!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usiku bhana huu

spend less, save more
 
Nafurahi kusikia kwamba upo makini na mifugo yako.
Vipi ni kicheche nini?
Au wezi wa kuku?
Sio kicheche mkuu, kunakuku amejifungua, sasa alivyochizi alikanyaga kifaranga kikawakinalia kwamudakidogo.
Nikashtuka nikatoka kwenda kutatua tazito, ameniuzisana angekuwa hana vitoto vichanga ningeacha maagizo kesho asubui kwamba jioni nikirudi nikute mezani.

Ameniaribia usingizi kijinga.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwakwa kwaaa nyie watoto wa dar bwana...ni kuinama au kujiinika..ni kitendo cha kuingiza maji ya dawa za kienyeji tumboni kwa njia ya nyum..
Hii ipo kigoma sana
Hehehehehehe.
Nyuma?? Mimi ukiwa unafanya hivyo take pic nione
 
Sio kicheche mkuu, kunakuku amejifungua, sasa alivyochizi alikanyaga kifaranga kikawakinalia kwamudakidogo.
Nikashtuka nikatoka kwenda kutatua tazito, ameniuzisana angekuwa hana vitoto vichanga ningeacha maagizo kesho asubui kwamba jioni nikirudi nikute mezani.

Ameniaribia usingizi kijinga.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hahahaha
 
Back
Top Bottom