Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Nami niliwaza same thing, ila kesho ndo blue MondayAisee, leo ingekuwa j mosi ninge tafuta pakwenda saizi, sematu kesho j 3 akili inawaza working plan tu. Duuh labda huumwanga wa cm ndio unazingua usingizi.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Bomba? Ndiyo kufanyaje?
Uzi gani nikauone jinsi ulivyokuwa unasaka usingizi.Kila siku hadi kuna uzi nifungua ili nipate msaada wa kulala mapema ila leo nimeshinda nasinzia..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usiku bhana huuShemeji yenu mmemuona!
Shemeji yenu mmemuona!
Shemeji yenu mmemuona!
nakuaminia mzeeShemeji yenu mmemuona!
Weweee acha kutushitua jamani.Shemeji yenu mmemuona!
Sio kicheche mkuu, kunakuku amejifungua, sasa alivyochizi alikanyaga kifaranga kikawakinalia kwamudakidogo.Nafurahi kusikia kwamba upo makini na mifugo yako.
Vipi ni kicheche nini?
Au wezi wa kuku?
Oooh nje napo usiku panatisha simshauriKwenda mara kwa mara chooni
Uzi gani nikauone jinsi ulivyokuwa unasaka usingizi.
Ulilala mchana kwani?Hongera yako, mm sijalala kabisaaaaaa nautafuta hauj
spend less, save more
Ouch!Oooh nje napo usiku panatisha simshauri
Hehehehehehe.Kwakwa kwaaa nyie watoto wa dar bwana...ni kuinama au kujiinika..ni kitendo cha kuingiza maji ya dawa za kienyeji tumboni kwa njia ya nyum..
Hii ipo kigoma sana
HahahahaSio kicheche mkuu, kunakuku amejifungua, sasa alivyochizi alikanyaga kifaranga kikawakinalia kwamudakidogo.
Nikashtuka nikatoka kwenda kutatua tazito, ameniuzisana angekuwa hana vitoto vichanga ningeacha maagizo kesho asubui kwamba jioni nikirudi nikute mezani.
Ameniaribia usingizi kijinga.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app