JamiiForums Usiku wa manane

Isee....kwa mzunguko huo sidhani kama utanikuta,maana kuna jamaa amekaa hapo mbele anagawa ofa,hivyo nataka nikachangamkie fursa [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nishafika, mbona sikuoni....
 
Unalala na lijamaa wewe jinsia gani mkuu?
Umenipa mashaka ya gafla
Kwa nini akorome kama sio amemaliza kufanya kazi fulani hivi ile ya usiku
Teh
Tehteh.....

jj's bhana

Tupo shift ya usiku kazini mkuu

Jamaa kalala ila kitanda tofauti

Yaani hapa nilipo nimekereka kweli bhasi tu hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…