JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani jamani......jje's kwanini hukuniambia kuwa nina mwonekano na haiba ya kiume? Mpaka nakuja kushangaliwa na watu namna hii? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Usijali dada yangu hata mimi nilidhani ni wa kiume....[emoji19] [emoji19]
 
Jamani jamani......jje's kwanini hukuniambia kuwa nina mwonekano na haiba ya kiume? Mpaka nakuja kushangaliwa na watu namna hii? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Teh...

Mwandiko wako ni kama wa mvulana/mwanaume vile.
 
Haina shida Nleterewa Nganengo atakuleta kwangu maana naye ni mwanafunzi wangu japo yeye analipia..
Hivyo usimwambie kama wewe unasoma bure asije akakupoteza bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hajaniambia
 
Back
Top Bottom