Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Jamani jamani......jje's kwanini hukuniambia kuwa nina mwonekano na haiba ya kiume? Mpaka nakuja kushangaliwa na watu namna hii? [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Kumbe wewe Thad ni mdada