T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Jicho la wapi na jicho la wapi?Aina 2 mkuu
Ndio maana unaniharibu badala ya kunijenga....tangu lini mwanafunzi akamfundisha mwalimu?[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wote ni wanafunzi na wote ni walimu.
Utofauti wetu:-
Mimi sikutozi pesa, wewe unatoza (naumia sana)
Mimi natumia bakora kwenye ufundishaji (hapa kidogo afadhali napunguza machungu ya ada)[emoji125] [emoji125]
Twapita wote mkuuNipo napitia JF!
1.jicho linaloonaJicho la wapi na jicho la wapi?
Tunahitaji uwepo wenu wakuu,msipite kaeni nasi hapaNipo napitia JF!
Twapita wote mkuu
Jicho lisiloona kila binadamu analo au?1.jicho linaloona
2.jicho lisiloona
(yote yako usoni)
Aisee, hawa vijana wa siku izi wajanja sana ujue, hiyo ni mbinu niliyofundishwa Cuba kwenye mafunzo ya kijasusi ili kukukinga na mashambulizi ya "Seduce you" kwa Prime Minista ila naona wameing'amua sasa[emoji6]Kwakweli sitakusamehe kwa hili la kunifundisha kuandika mwandiko wa kiume,unaosababisha watu wadhani mimi ni mwanaume [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hapana,hilo jicho analo binadamu mmoja tu aitwaye kipofuJicho lisiloona kila binadamu analo au?
Swadakta kabisa, hilo hilo, Mwl mpya wa hunter[emoji40] [emoji125]Jicho lipi? Hilohilo la kwenye paji la uso au lingine? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huwa unaelewa vipi ukisikia watu wakisema kuwa "KALIWA JICHO"?Hapana,hilo jicho analo binadamu mmoja tu aitwaye kipofu
Unamaanisha wananiita dume gume ( sio gu dume) ili kujikinga na mashambulizi ya seduce me ya alikiba?Aisee, hawa vijana wa siku izi wajanja sana ujue, hiyo ni mbinu niliyofundishwa Cuba kwenye mafunzo ya kijasusi ili kukukinga na mashambulizi ya "Seduce you" kwa Prime Minista ila naona wameing'amua sasa[emoji6]
Hahaha usihofu, kuna dawa ntakutengenezea ya kuita tongozo zikiambatana na miamala ya Mpesa, na Bank, jiandae kesho naanza safari ya kwenda msitu wa Kongo.[emoji40]Tatizo ni kwamba waoaji wananipita bila kutambua kuwa mie ni muolewaji....! [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Tafadhali usije ukanigombanisha na mshiki wako maana hana hizi habari za uanafunzi wa my love wake [emoji12] [emoji12] [emoji12]Swadakta kabisa, hilo hilo, Mwl mpya wa hunter[emoji40] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jicho la wapi na jicho la wapi?
Kwa kweli akili yangu nyembamba sana....huwa sielewagi chochote [emoji12] [emoji12] [emoji12]Huwa unaelewa vipi ukisikia watu wakisema kuwa "KALIWA JICHO"?
Hili ukilifanikisha,nakuahidi kuwa nitahakikisha majaribio ya tongozo yanaanzia kwako.Hahaha usihofu, kuna dawa ntakutengenezea ya kuita tongozo zikiambatana na miamala ya Mpesa, na Bank, jiandae kesho naanza safari ya kwenda msitu wa Kongo.[emoji40]
Ila cha ajabu navyokuhangaikia hivi hata ada huipunguzi[emoji57]
Darasa la watu wawili mmoja akiwa mwanafunzi na mwingine mwalimu linaboa sana, kuwa mwalimu haimaanishi unajua everything, kuna vitu vipya tunajifunza kwa wanafunzi pia[emoji125]Ndio maana unaniharibu badala ya kunijenga....tangu lini mwanafunzi akamfundisha mwalimu?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ni kwa sababu mpaka dakika hii hujui macho yako yako sehemu gani,hivyo unataka ugelezee jibu kwangu [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui kwa nini nafsi yangu inavutwa sana kuliona jibu la hili swali
[emoji40] [emoji40]Unamaanisha wananiita dume gume ( sio gu dume) ili kujikinga na mashambulizi ya seduce me ya alikiba?