Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Amen, amen, amen.Aisee huu ni muda wa maombi yenye nguvu....wacha nitete kwanza na Muumba wangu,nimkumbushe ahadi zake kwangu
Maana anasema "Njooni tusemezane....."
Na maombi yafanyike kwa ajili ya wote, zaidi kwa walio wachochezi na wenye tamaa kwa wake/waume wa jirani zao.[emoji120] [emoji125]