Nani ataota moto jirani?Uniote
Amka bhana[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
HahaNani ataota moto jirani?
vya usiku wa mananePopo leo mniambie mko viwanja gani uko
Mkuu bado ni saa 01:52 haijawa wa mananevya usiku wa manane
Uwe na usiku mwema jirani.Amka bhana
Mie nipo nipo tu jirani,Uwe na usiku mwema jirani.
''Sipati usingizi namuota kila siku"
Madam sakayo vipi leo usingizi umeazima wapMie nipo nipo tu jirani,
Ulale salama na uzidi kumuota
Leo Niko lindo MkuuMadam sakayo vipi leo usingizi umeazima wap
Wazima veeepeLeo na mimi nimepita humu,wazima nyie?
Lindo gani mkuu nije tukeshe woteLeo Niko lindo Mkuu
HahaUna panga, mshale au rungu la kulindia?
Unaweza lakini kukimbizana na mmbuLindo gani mkuu nije tukeshe wote
Mbu wakaji nitashughulika nao bora tu nikuone kwa uso mkuuUnaweza lakini kukimbizana na mmbu
Haha
Na kikoi cha kimasai juu
Hujambo we mtu
Basi sawaMbu wakaji nitashughulika nao bora tu nikuone kwa uso mkuu
Silaha zote ninazo, kikoi ni baridi ujue!!!Aisee niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Kikoi cha kimasai tu ndiyo silaha yako London? Ujue Taifa bado linakuhitaji. Hebu tafuta hata panga au jambia🙂. Vipi hali yako lakini?