Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,919
Soon naatend eneo tajwa hapo juu kipandeBasi sawa
Sogea kipande hii, uje na koti refu silaha nnazo za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon naatend eneo tajwa hapo juu kipandeBasi sawa
Sogea kipande hii, uje na koti refu silaha nnazo za kutosha
Silaha zote ninazo, kikoi ni baridi ujue!!!
Mungu ni mwema sijambo, ni venye umefichwa tuu
PoaSoon naatend eneo tajwa hapo juu kipande
AmenHahahahaha eti nimefichwa LoL! Nimo humu 24/7 kupigania chama langu na nchi yangu dhidi ya hawa wahuni. Nafurahi kusikia umzima Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana.[emoji1431][emoji1417]
Amen
Mie kupambana kwa akili zangu nimeshindwa, sa hii napambana kwa maombi. Kiukweli tumefika pabaya.... Nafurahi kukuona kwa ukaribu
Sijagive up ujue, mapambano ya kimya na sala naona yananifaa mie, bora wajione wako na watu kimwili kiakili kila mtu anajijua mwenyewe....Hilo naelewa sana la kugive up haya mapambano dhidi ya hawa wahuni wazo ambalo hata mimi lilinipitia kichwani lakini nikalikataa. Mie pia nimefurahi kukuona. Eti umeniona kwa ukaribu uso kwa uso pua kwa pua 🙂🙂
Sijagive up ujue, mapambano ya kimya na sala naona yananifaa mie, bora wajione wako na watu kimwili kiakili kila mtu anajijua mwenyewe....
Hongera kwa kupambana mwaya, juhudi zako naziiona.
Tumeonana kwa macho jamani, sii kwa ukaribu huu
Dr Unju pumzikaTupo mac ho midaya wanga
Usijali tuko pamoja kabisaa!!!!Usigive up ili hawa wahuni wajue kwamba uhuni wao Watanzania wengi hatuukubali. Ukaribu wa hivi bomba eh! 😡
Usijali tuko pamoja kabisaa!!!!
Ukaribu huu wapendeza zaidi, nafurahi kukuona ujue
Asante na karibu BAKShukrani sana mie pia nimefurahi kukuona Sakayo. [emoji1431][emoji1417]
Asante na karibu BAK
Baadae kidogo basi namalizia moja hapa!!!! Take care of yourself!!!
Thanks BAK[emoji120] [emoji120] [emoji120]Thanks a lot Sakayo, you too. Good night.
[emoji1431][emoji1417]
Nisipokukumbuka wewe shemeji yangu nitamkumbuka nani?Shem nipo aisee... Nimefurahi kusikia unanikumbuka
Kusema kweli msije mkarudia mibebishano hapa,mtaamsha gonjwa langu la wivu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Looh shem nisipokuwepo ndio unanifanyia hivi kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona mnafundishana twisheni na jje'sMwinyi... Nalo gumu kulitamka?