JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Arsenal ilikuwa enzi zile akina Thiery Henry, Emmanuel Adebayor, Bakari Sagna na wengine.

Mmmhh, kwa sasa ninavyoisikia kwa juju ni bora Maji maji FC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pambaneni na mzee Wenger wenu mkuu,kuikimbia timu sio suluhu,mnabaki mnaumia kimya kimya.

Kama inazidiwa na majimaji basi tuwambie tff waishushe daraja ikacheze ndondo tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nishamzoea huyu mwanafunzi, hana kitu kingine zaidi ya uchochezi, ila soon ataanza kunielewa
Nitakuelewaje wakati hujui kufundisha? [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona mshiki wako kakutana na mwl.hasa kaelewa ndani ya dk sufuri. Mimi mwaka wa tatu huu napoteza ada yangu bure,mwandiko wenyewe kumbe ulinifundisha wa kiume [emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Kwahiyo unamaanisha kuwa ufanisi wako unapunguzwa na utukutu wa mwanafunzi wako? Ama kweli unastahili kutumbuliwa mchana kweupe [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona dalili za mtu kupata Mwl mpya, kweli dalili ya mvua ni mawingu meusi[emoji40] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pambaneni na mzee Wenger wenu mkuu,kuikimbia timu sio suluhu,mnabaki mnaumia kimya kimya.

Kama inazidiwa na majimaji basi tuwambie tff waishushe daraja ikacheze ndondo tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi sijawahi kuishabikia Arsenal ila nimekutolea tu mfano jinsi ilivyokuwa tishio enzi zile.

Nakumbuka 2006 ilicheza fainali ya UEFA dhidi ya Barcelona, mtanange ulikuwa ni wa kukatana na shoka kweli kweli japo Arsenal ilishindwa.

Nadhani toka kipindi hicho ndio mambo yakawa yanaenda mrama hadi leo hii.
 
Back
Top Bottom