Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Njoo uthibitishe hili dai lako mbele ya Joseverest [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Japo sijui kiswahili, ila naona kuna dalili ya uchochezi hapa[emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Njoo uthibitishe hili dai lako mbele ya Joseverest [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Mmmmh! Nina wasiwasi na wewe.....Mimi nilikuwa mshabiki miaka ya nyuma sasa hivi nishaacha hata wachezaji wa dot.com siwajua, nimebaki kuwajua Messi na Cristiano Ronaldo na wengine wachache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Nikikuonjesha utabadilisha kabila bure....utataka uwe wa kabila langu wakati kabila langu tumejaa mpaka tunauzana ili tupungue kidogo [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Aisee kumbe[emoji3] [emoji125]Hakika hili nililifanyia kazi, sasa hivi hakuna mwenye kumtamani mwenzie....hata mke na mume hawatamaniani tena hapa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cc jje's & Kichwa Kichafu
Neybright & Joseverest
Baba na mama Chanja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo huku mtaani kwetu tunauza naye u mama n'tiliyeChunga tamaa mbaya[emoji445] [emoji445] [emoji441]
Chunga tamaa mbaya[emoji445] [emoji445] [emoji441]
Hivi kijana aliyeimba hii nyimbo siku hizi kapotelea wapi vile?
[emoji23] [emoji23]Natamani mwl.wangu Nleterewa Nganengo angekuwa na kipawa cha kufundisha kama wewe....[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Hakuna uchochezi wowote, unatakiwa uthibitishe au utengue kauli yako maana nyie wanasiasa mmezoea sana hii promosheni mpya ya voda ya pindua pindua [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Japo sijui kiswahili, ila naona kuna dalili ya uchochezi hapa[emoji125]
KabisaAisee kumbe[emoji3] [emoji125]
Arsenal ilikuwa enzi zile akina Thiery Henry, Emmanuel Adebayor, Bakari Sagna na wengine.Mmmmh! Nina wasiwasi na wewe.....
U shabiki wa asernal nini? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie aje akopi na kupesti ataweza
Kwahiyo unamaanisha kuwa ufanisi wako unapunguzwa na utukutu wa mwanafunzi wako? Ama kweli unastahili kutumbuliwa mchana kweupe [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23]
Natamani ningekua na mwanafunzi mtulivu na asiye na wivu na tamaa kama jje's
[emoji57] [emoji57]Hawezagi namjua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nishamzoea huyu mwanafunzi, hana kitu kingine zaidi ya uchochezi, ila soon ataanza kunielewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo huku mtaani kwetu tunauza naye u mama n'tiliye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pambaneni na mzee Wenger wenu mkuu,kuikimbia timu sio suluhu,mnabaki mnaumia kimya kimya.Arsenal ilikuwa enzi zile akina Thiery Henry, Emmanuel Adebayor, Bakari Sagna na wengine.
Mmmhh, kwa sasa ninavyoisikia kwa juju ni bora Maji maji FC
Hello kiswahili kwangu inaleta problem, at least chagga naijua kidogo[emoji125]Hakuna uchochezi wowote, unatakiwa uthibitishe au utengue kauli yako maana nyie wanasiasa mmezoea sana hii promosheni mpya ya voda ya pindua pindua [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakuelewaje wakati hujui kufundisha? [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona mshiki wako kakutana na mwl.hasa kaelewa ndani ya dk sufuri. Mimi mwaka wa tatu huu napoteza ada yangu bure,mwandiko wenyewe kumbe ulinifundisha wa kiume [emoji18] [emoji18] [emoji18][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nishamzoea huyu mwanafunzi, hana kitu kingine zaidi ya uchochezi, ila soon ataanza kunielewa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Unamcheka yeye au mimi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo unamaanisha kuwa ufanisi wako unapunguzwa na utukutu wa mwanafunzi wako? Ama kweli unastahili kutumbuliwa mchana kweupe [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mimi sijawahi kuishabikia Arsenal ila nimekutolea tu mfano jinsi ilivyokuwa tishio enzi zile.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pambaneni na mzee Wenger wenu mkuu,kuikimbia timu sio suluhu,mnabaki mnaumia kimya kimya.
Kama inazidiwa na majimaji basi tuwambie tff waishushe daraja ikacheze ndondo tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]