JamiiForums Usiku wa manane

Dah! nimechelewa...nilikuja kuuliza tumejiandaaje na mwaka mpya,vipi mgeni rasmi tutamwalika nani?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hii ni silabasi mpya inaendana na nchi ya Viwanda
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] viwanda hivi hivi vya kushona viraka au kuna viwanda vingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…